Monday, October 3, 2016

Dar es salaam ya makonda

Uskose kuipakua video hii uone jindi vijana hawa Yamoto band www.allenmkongo.blogspot.com

African queen

Yake adiba my African queen

Today's news papers content

Kp World provides necessary news from the world about celebrities, gossips, fashion, lifestyle, entertainment, politics, health and many more. Stay in touch with our blog to get notified of the world.

Jumatatu, 3 Oktoba 2016

Headlines za Magazeti ya Tanzania October 3, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo

October 3 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea.

20161003_045241

Tangazo

Job Opportunity at Barclays Bank, Relationship Manager
AJIRA YAKO / 4 days ago

RELATIONSHIP MANAGER(RM)- NBFI & FIS POSITION DESCRIPTION:

Description

Job Purpose
Support the leadership teams overseeing country Global Corporates and FI business from a coverage perspective to develop and manage the FIG opportunities in the country as well as international clients with an African hub located in Tanzania. The role will work in close coordination with Global Corporates Head and country product teams from Barclays Tanzania and BAGL.

Work closely with and supporting the global and African corporate bankers, and playing a country banker role to ensure that right products are sold to clients, proactively keeping the client relationship healthy and maximising value through current and new business within acceptable risk levels. Analysis of global client’s presence across the country and possibly in Barclays presence countries will be encouraged in order to help the business to leverage global relationships for increased business.

Key responsibilities:
Ensure understanding of global FIG client behaviour and needs
Country client co-ordination and pro-active client Solutioning
Assist with Country client acquisition
Supports Global, Regional and or other Local Bankers
Assists in developing African relationships for Global bankers and acts as a co-ordination point, driving relationship opportunities from Tanzania.
Client relationship management which will involve the driving and maximising of revenues via account planning, analysis of current product and revenues and deep dive analysis into In-country clients to understand the growth opportunities.
Understanding client requirements or opportunities and assists in providing innovative solutions to clients
Assisting to drive pitches to successful closure and tracking of client deep dives
Tracks action points post client visits to ensure closure of issues and / or opportunities in pipeline
Build relationships with internal stakeholders across the Barclays, Absa networks. This includes having a good understanding of credit policy and assisting to ensure resolution in the credit arena with clients either regionally or locally.
Assist the credit process if limits are required
Close liaison with FIG heads
Focus on pipeline closure
Focus on achievement of Country FIG budget
Support for Client interface into business
Assist with client annual business reviews

Personal Attributes:
Relationship management and be credible with senior clients
Strong performance management skills; ability to drive performance
Excellent organizational ability
Good teamwork skills across a range of constituencies, countries, cultures
Broad economic awareness & business development understanding
Negotiating and influencing skills
Decision making ability

Education and Experience Required
B Degree in Commerce or Equivalent
3-5 Years Corporate Banking Experience
Banking Experience with Financial Institution Groups
Minimum 2 years successful and relevant relationship management

Knowledge, Experience & Professional Skills:
Business or accounting related degree
Background in ‘commercial banking’ products and – preferably – some experience of African business.
Strong solution driven person
Knowledge of debt and investment banking product
Results-orientated
Knowledge of the Non-Bank Financial Institutions and an appreciation of the regulatory environment in which they operate
Visible excellent communication skills (written and verbal)

Competencies: (Maximum of 8 competencies)
Deciding and initiating action
Learning and researching
Entrepreneurial and commercial thinking
Relating and networking
Adapting and responding to change
Persuading and influencing
Creating and innovating

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Online Application, Click HERE to Apply
Visit website

Pata kuijua historia ya Nyakijoga

b

30 October 2011

HIJA KWA BIKIRA MARIA NYAKIJOGA:Lurdi ya Bukoba yafanyika hii Leo 30-10-2011

HISTORIA FUPI YA NYAKIJOGA KWA UTAFITI a kituo cha Hija cha Parokia ya Mugana.
Wakati huo Parokia ya Mugana ilikuwa ikijiandaa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu ilipoanzishwa. Jubilei ilikuwa iadhimishwe mwaka 1955. Kituo hiki cha Hija kilianzishwa kwa madhumuni ya kushiriki kiroho katika maadhimisho ya Jubilei ya miaka 100 tangu tamko rasmi la Kanisa la mwaka 1854, kuwa ni nguzo ya imani kwamba Bikira Maria aliumbwa bila dhambi ya asili. Vilevile, mwaka 1958 kuliadhimishwa Jubilei ya miaka 100 tangu Bikira Maria mwenyewe alipomtokea msichana Bernadeta Subiru huko Lurdi Ufaransa mwaka 1858 na kujitambulisha kuwa yeye ndiyealiyeumbwa bila dhambi ya asili

Kwa kujitambulisha hivyo Bikira Maria athibitisha ukweli ambao ulikuwa unakubaliwa na Kanisa katika mapokeo yake ya kawaida (Tradition), ambao ulitamkwa rasmi na Kanisa mwaka 1854.

Ili kuwawezesha waumini wote wa Jimbo la Rutabo la nyakati zile kushiriki kikamilifu, Mwashamu Laureani Rugambwa, alimwomba Baba Mtakatifu Pio XII awaruhusu wote watakao Hiji hapa wapate rehema za Jubileo hiyo kuu ya Lurdi. Baba Mtakatifu aliruhusu. 

Mwasham Baba Askofu Nestory Timanywa wa Jimbo kuu la Bukoba akiongoza maandamano kuelekea Nyakijoga.Maandamano yameanzia katika kanisa kuu la Parokia ya Mugana.

Mapadre wakiwa kwenye Misitari.

Wahudumu wenye kubeba Sanamu ya Bikira Maria,pembeni ni Ndg Peter Mgisha mmoja wapo wa Mahujaji

Hija ni safari ya Imani afanyayo muumini kwenda mahala patakatifu kwa ajili ya sala,ibada na manufaa ya kiroho.Imani inaifanya safari ya hija iwe tofauti na na safari nyinginezo,kama vile utalii,mandari au matembezi tu.
Hija humfanya mtu abadili mwenendo wake wa maisha na kusogea karibu na na Mungu 

Wadau wakiwa kwenye Mistari kuelekea kwenye Maji ya Baraka wakati ibada ya Hija ikiendelea hii leo.

Mdau Mama Kasangwa akipata Maj ya Baraka.

Hivi ndivyo utitili wa magari ulivyo Mugana katika hija.

Wadau wa Pande za Muleba nao wamejitokeza kama unavyo mwona Ndg Geofle (katikati)

Camera yetu maeneo ya Mugana imenasa wadau hawa wakitelemka kwenye Fusso tena nyuma kwangu mie Mc kama blogger nimechukulia kama kituko.
Hili ndilo Jeshi letu la Polisi na haya ndio maisha waliomo.!!

Biashara kila aina ziliendelea

Mdau Godiliza,huyu jamaa wa Kitambo sana,Nimepata faraja kukutana naye uso kwa uso akiendeleza shughuli zake uko Mugana.

Swala la Hija Mugana linahistoria yake na umgusa kila mdau kwa namna anavyo elewa umuhimu,Pichani ni Mwana mama mjasilia mali akiendea na biashara yake.

Huduma ya Red cross waljipanga vyema.

Wakati likiingia gari la Jeshi likiwa limejaa wanakwaya wa Jeshi wakiwa wamevalia Sare zao kiasi ilinipendeza sana.

Wadau kutoka Pande Za Katoma Maarufu kama Mapacha,(kushoto) ni Mama Kazinduki

Mr Kyaruzi ,huyu pia ni mdau wa siku nyingi,kama unakumbuka au ulikuwepo enzi zile za Kaijanante Bondia maarufu basi huyu Kyaruzi ndiyo mpinzani wake,mfano wa Cheka na Maugo, na hiyo ndio faida ya Mimi kuwajua wadau wengi kwa %kubwa.

RMK ikiwa na abiria wa Kashai.

Walinzi wa Usalama katika hija.

Hivi ndivyo asa ilivyo kuwa Hija ya leo hii
Bukobawadau ndio katika kufatilia hili na lile pande zote hapa Mkoani.
Bukobawadau kufikia hapa hatuna la Ziada ,tunacho weza kusema ni kufanyia kazi na kutafakali Maneno yaliopo kwenye Gari hili mwisho wa Picha.

Tunatoa shukurani kwa kila Mdau anaye tembelea tovuti hii.

stevedaboy at 11:59 PM


 













, 2016 Simba, Yanga marufuku uwanja wa Taifa  


=

SUNDAY, OCTOBER 2, 2016

Simba, Yanga marufuku uwanja wa Taifa

 

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezifungia rasmi timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa Taifa mpaka pale zitakaporuhusiwa tena na Serikali. 

Kwa ufupi

Nape ametoa amri hiyo leo Jumapili ikiwa ni siku moja baada ya mashabiki wa klabu ya Simba, kung'oa viti vilivyopo kwenye majukwaa ya uwanja huo kwa kile walichokidai kupinga uamuzi wa Refa, Martin Saanya aliyechezesha mechi hiyo.

By Charles Abel, Mwananchi

Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezifungia rasmi timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa Taifa mpaka pale zitakaporuhusiwa tena na Serikali.

Nape ametoa amri hiyo leo Jumapili ikiwa ni siku moja baada ya mashabiki wa klabu ya Simba, kung'oa viti vilivyopo kwenye majukwaa ya uwanja huo kwa kile walichokidai kupinga uamuzi wa Refa, Martin Saanya aliyechezesha mechi hiyo.

"Simba na Yanga hawatoutumia tena uwanja huu mpaka pale Serikali itakapoona kuwa mazingira yanaruhusu," alisema Nape.

Habari

Uchaguzi Congo waahirishwa kwa miaka miwili

Tume huru ya Uchaguzi ya Congo, imetangaza kuwa uchaguzi mkuu sasa utafanyika Novemba mwaka wa

Kim Kardashian avamiwa na watu wenye silaha

Nyota wa televisheni nchini Marekani Kim Kardashian ameshambuliwa na kuzuiliwa na watu waliokuwa

HABARI 
Yowe latetekeza watafiti   7  hours agoHABARI 
Hii kama siyo laana, ni nini!   7  hours agoHABARI 
Walimu waidai Sh273 milioni   8  hours agoHABARI 
Wanafunzi wa udaktari watelekezwa   8  hours ago

HABARI MPYA

1HABARI Ujerumani yamtia doa Trump2HABARI Kim Kardashian avamiwa na watu wenye silaha3HABARI Uchaguzi Congo waahirishwa kwa miaka miwili4HABARI Pazia halijafunuliwa CUF5HABARI Yowe latetekeza watafiti6HABARI Hii kama siyo laana, ni nini!7HABARI Wanafunzi wa udaktari watelekezwa8HABARI Walimu waidai Sh273 milioni9HABARI Utitiri wa kodi wachosha wafanyabiashara10HABARI Tanesco Dom yaonja ukaribu wa viongozi

PHOTO GALLERY

Fursa 2016 Simiyu

ZILIZOJADILIWA ZAIDI

Privacy Policy Wasiliana nasi EmailThecitizen Mwanaspoti Epaper MCLDaily Nation Daily Monitor Matokeo Uchaguzi Mkuu 2015  RSS

Taarifa kwa uma


NACTE

2ND OCTOBER 2016 22:35:00

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA AWAMU YA TATU, UHAMISHO NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

Date Posted: 2nd October 2016 22:35:00 Posted By:NACTE

 

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI

 (NACTE)

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA AWAMU YA TATU, UHAMISHO NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA ASTASHAHADA(CHETI) NA STASHAHADA(DIPLOMA) KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

 

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kudahiliwa katika kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma) na Umma kwa ujumla kuwa dirisha la maombi lilifungwa mnamo tarehe 15 Septemba 2016 ili kuruhusu uteuzi wa awamu ya pili kwa waombaji wa kozi hizo.

 

Uteuzi wa awamu ya tatu kwa waombaji wa Astashahada na Stashahada unatarajiwa kutangazwa mnamo tarehe 5 Oktoba 2016, hivyo basi waombaji wanaombwa kuwa na subira ili kutoa muda kwa Baraza kukamilisha taratibu za uteuzi huo.

 

Maombi mapya ya Udahili

Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) utafunguliwa tena tarehe 5 Oktoba 2016hadi tarehe 15 Oktoba 2016 ili kujaza nafasi za udahili zilizobaki wazi baada ya uchaguzi wa awamu ya pili. Hatua hii itawezesha kuruhusu machaguo mapya kwa wale ambao hawakuchaguliwa katika kozi walizoomba pamoja na kuruhusu waombaji wapya ambao kwa njia moja au nyingine hawakuweza kuomba hapo awali.

Maombi ya Uhamisho

Mwombaji aliyechaguliwa ataweza kuomba uhamisho kutoka chuo ama kozi moja kwenda nyingine kupitia kwenye ukurasa wake binafsi (profile) tu. Uhamisho huu utategemea nafasi zilizopoushindani naalama za chini za kujiunga na kozi (cut-off). Orodha ya Vyuo na Programu zenye nafasi zitatolewa hivi punde.

Hatua za kuomba uhamisho:

Ingia kwenye ukurasa wako binafsi (profile) kwa kutumia jina la mtumiaji (Username) na neno la siri (Password) ulivyopewa wakati wa usajili.

Bofya kitufye kilichoandikwa “Transfer Request/Kuomba uhamisho”, na punde ukurasa utafunguka

Utafunguka ukurasa unaokuonesha chuo na kozi uliyochaguliwa awali

Chagua kada unayohitaji kuhamia

Chagua chuo unachohitaji kuhamia

Chagua kozi unayohitaji kuhamia

Mfumo utatathmini kama una sifa za kujiunga na kozi uliyochagua. Iwapo una sifa za kujiunga na kozi hiyo mfumo utakuomba ulipie Sh. 30,000/- kama ada ya maombi ya uhamisho. Kiasi hiki hakitarudishwa (non-refundable)

Bofya kitufye kilichoandikwa “Confirm Transfer Request/Kamilisha maombi”.

Utapewa muhtasari wa maombi yako ya uhamisho pamoja na kutumiwa ujumbe mfupi wa maandishi kwenye namba ya simu ya mkononi uliyoweka wakati wa usajili na barua pepe kukujulisha kwamba umekamilisha maombi.

Jinsi ya kulipia (Malipo yatafanywa kwa M- pesa tu)

Piga *150*00#

Chagua 4. LIPA kwa M-Pesa

Chagua 4. Weka namba ya kampuni

Tafadhali weka namba ya kampuni (No. 607070)

Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (No. 1234)

Weka kiasi (e.g.30,000/=)

Weka namba ya siri

Bonyeza 1 kuthibitisha.

Angalizo (Disclaimer)

Kuhama chuo na kozi si lazima.

Uhamisho utafanyika kwa kozi zile tu zenye nafasi na kwa vyuo ambavyo bado havijafunguliwa na kuanza masomo.

Uhamisho ni kwa wale waombaji waliokwisha kuchaguliwa kupitia mfumo wa pamoja wa udahili tu.

Maombi ya uhamisho yanaweza kufanyika MARA MOJA na kwa kozi moja

Iwapo umefanikiwa kupata uhamisho, majibu yataonekana kwenye ukurasa wako binafsi (Profile). Majibu haya pia yatatumwa kwenye namba yako ya simu kwa njia ya ujumbe mfupi wa maandishi na kupitia barua pepe baada ya tarehe ya mwisho ya maombi (15 Oktoba 2016).

Uhamisho utategemea ufauluwa waombaji nanafasi zilizopo. Hii inamaanisha kwamba wenyeufaulu wa juu ndio wenye uwezo mkubwa wa kukubaliwa kuhama.

Maombi yatakayo tumwa kwa barua au barua pepe hayatoshughulikiwa.

Imetolewa na

Ofisi ya Katibu Mtendaji

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)

Tarehe: 02 Octoba, 2016

QUICK / RELATED LINKS

Central Admission SystemTanzania Commission for UniversitiesTanzania National WebsiteHigher Education Students Loans Board (HESLB)National Examination Council of Tanzania (NECTA)Tanzania Institute of Education (TIE)Commission for Science and TechnologyVocational Education Training Authority (VETA)International Association of Universities (IAU)Center for Higher Education Transformation (CHET)

Stay Connected

2kSHARES  1.5kTWEETS 620SHARES200FOLLOWERS

 

CONTACT NACTE

The Executive Secretary,The National Council For Technical Education:Plot No. 719/1/4,
Mikocheni Light Industrial Area,
P. O. Box 7109,
Dar-es-Salaam,
Tanzania.Tel: 255-22-2780077 / 255-22-2780079Fax: 255-22-2780060E-Mail: info@nacte.go.tzWebsite: www.nacte.go.tz

NACTE ZONES

LATEST UPDATES

 October 2nd 2016  NACTE

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA AWAMU YA TATU, UHAMISHO NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

 September 21st 2016  NACTE

PUBLIC NOTICE - ANNOUNCEMENT ON JOB VACANCY FOR THE POST OF EXECUTIVE SECRETARY OF THE COUNCIL

 September 14th 2016  NACTE

MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU VYA SERIKALI KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

MORE UPDATES ...

NACTE TWEETER UPDATES

Tweets by @nacte

FOLLOW US ON FACEBOOK

HOME 

CONTACT GALLERY PUBLICATIONS

COPYRIGHT © 2007 - 2015 THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION. ALL RIGHTS RESERVED
       WWW.stevedaboy.blogspot.com