=
SUNDAY, OCTOBER 2, 2016
Simba, Yanga marufuku uwanja wa Taifa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezifungia rasmi timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa Taifa mpaka pale zitakaporuhusiwa tena na Serikali.
Kwa ufupi
Nape ametoa amri hiyo leo Jumapili ikiwa ni siku moja baada ya mashabiki wa klabu ya Simba, kung'oa viti vilivyopo kwenye majukwaa ya uwanja huo kwa kile walichokidai kupinga uamuzi wa Refa, Martin Saanya aliyechezesha mechi hiyo.
By Charles Abel, Mwananchi
Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezifungia rasmi timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa Taifa mpaka pale zitakaporuhusiwa tena na Serikali.
Nape ametoa amri hiyo leo Jumapili ikiwa ni siku moja baada ya mashabiki wa klabu ya Simba, kung'oa viti vilivyopo kwenye majukwaa ya uwanja huo kwa kile walichokidai kupinga uamuzi wa Refa, Martin Saanya aliyechezesha mechi hiyo.
"Simba na Yanga hawatoutumia tena uwanja huu mpaka pale Serikali itakapoona kuwa mazingira yanaruhusu," alisema Nape.
Habari
Uchaguzi Congo waahirishwa kwa miaka miwili
Tume huru ya Uchaguzi ya Congo, imetangaza kuwa uchaguzi mkuu sasa utafanyika Novemba mwaka wa
Kim Kardashian avamiwa na watu wenye silaha
Nyota wa televisheni nchini Marekani Kim Kardashian ameshambuliwa na kuzuiliwa na watu waliokuwa
HABARI
Yowe latetekeza watafiti 7 hours ago
HABARI
Hii kama siyo laana, ni nini! 7 hours ago
HABARI
Walimu waidai Sh273 milioni 8 hours ago
HABARI
Wanafunzi wa udaktari watelekezwa 8 hours ago
HABARI MPYA
1HABARI Ujerumani yamtia doa Trump2HABARI Kim Kardashian avamiwa na watu wenye silaha3HABARI Uchaguzi Congo waahirishwa kwa miaka miwili4HABARI Pazia halijafunuliwa CUF5HABARI Yowe latetekeza watafiti6HABARI Hii kama siyo laana, ni nini!7HABARI Wanafunzi wa udaktari watelekezwa8HABARI Walimu waidai Sh273 milioni9HABARI Utitiri wa kodi wachosha wafanyabiashara10HABARI Tanesco Dom yaonja ukaribu wa viongozi
PHOTO GALLERY
ZILIZOJADILIWA ZAIDI
Privacy Policy Wasiliana nasi EmailThecitizen Mwanaspoti Epaper MCLDaily Nation Daily Monitor Matokeo Uchaguzi Mkuu 2015
RSS



No comments:
Post a Comment